Mke wake Ja-rule anaejulikana kwa jina la Aisha Atkins, amekanusha habari zinazo dai kuwa wakati mchiz anaanza kutumikia kifungo chake cha miaka mi miwilli juni 8 mwezi huu wa sita, hakuaacha mabovu yeyote kusaidia familia..
kwa maneno yake mwenye anasema "jama alijipanga vyema wakati hajatimba ndani na kuhakikisha kuwa hatupati shida kwa kitu chochote kinacho husu hella."...so kwa kumalizia Aisha ameomba watu wasiwe wanasambaza habari sizo na ukweli wowote..Ja - rule ni baba familia ambae atafanya chochote kuona kwamba sisi wana familia yake tuko salama..
mwisho kabisa anasema Aisha Atkins kuwa, Tunamuombea kwa mungu Ja - rule amalize mda wake bila makosa yeyote akiwa jella ..
No comments:
Post a Comment