DMX AMEFAYA (DISS) SWAGGA YA DRAKE...
Licha kuwa jama bado yupo ndani (kitu cha jela)...X anasema mingoni mwa watu ambao hategemei kupiga nao kazi ni DRAKE. DMX ansema uwa style ya hawa washkaji wa YMCMB uwa haielewi hata kidogo...na sio kwa roho mbaya ila anajaribu kkuimeza ameshidwa....
No comments:
Post a Comment