Safari radio mtwara ndio radio inayofanya vizuri kwa sasa kwa kuwa na wasikilizaji wengi na kufanya matukio makubwa ya entertainment kwa ukanda wa kusini kwa hivi sasa,siku ya Jmosi tar 16 mwezi huu kutakuwa na bonge la part litakalo fanyika Makonde Beach club , kuanzia asubuhi watoto na vijana watapata nafasi ya kusherehekea mwaka mmoja wa mafanikio na usiku wakubwa watachukua nafasi yao.
Sherehe hizo zitasindikizwa na band ya Boka boma na Wakuziba msanii anayefanya vizuri kwa mkoa wa mtwara. SHEREHE NJEMA ZENYE MAFANIKIO
No comments:
Post a Comment