Msanii wa hip hop tanzania ameelezea ukweli wa maisha yake ya miaka sita iliyopita jinsi alivyo kuwa akitumia madawa ya kulevya, langa amefunguka alipokuwa anahojiwa na cheusi dawa tv program ya msanii fid q aliyoiyanzisha kwenye u tune, anasema madawa yamemfanya apoteze muelekeo ikafikia mpaka kuwa mwizi na kuhama nyumbani na kuishi gheto lakini kwa hivi sasa ansema yupo tayari kubadilika na huwezi kukibadili kilichotoke kipindi cha nyuma,na kwa sasa anatambulika kwa jina la RAIS WA MATEJAA....
No comments:
Post a Comment